Joshua 23:5

5 a Bwana Mwenyezi Mungu wenu mwenyewe atawaondoa watoke mbele yenu. Atawafukuza mbele yenu, nanyi mtamiliki nchi yao, kama vile Bwana Mwenyezi Mungu wenu alivyowaahidi.

Copyright information for SwhKC